x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kuangamiza Nasaba? Matukio yalivyotokea katika uhalifu wa mauaji watu 5 wa familia moja Kiambu

24, Jan 2021

Katika tukio la wakati mmoja, na kwa mpigo, familia ya watu wanne na mtu mwingine mmoja waliangamizwa kwa kuuwawa kinyama , mauwaji ya kikatili yaliotekelezwa takriban kwa muda wa chini saa moja ambayo nusura yamalize familia au nasaba nzima. Lawrence Warunge wa miaka 22 ndiye ambaye kwa sasa anahusihwa na ukatili huo. Anadaiwa kukiri mbele ya polisi kuwa alitekeleza mauwaji hayo, huku ripoti nyingine zikijitokeza kwamba hapo awali, alikuwa amewasilisha malalamishi katika kituo cha polisi cha Rwinu kwamba mamake ambaye pia aliuwawa usiku huo alijaribu kumuwekea sumu kwenye chakula. Je, ni kweli Lawrence Warunge alipanga kuangamiza familia yao? Na je mbona familia ya Warunge inaandamwa na mikosi au kuna sababu nyingine? Duncan khaemba alifika katika boma hilo na kuzuru maeneo uhalifu ulitekelezwa huo na amezungumza na wataalamu kujaribu kubaini kiini cha yote haya kabla ya mshukiwa kushtakiwa kotini.

Feedback