.
30th October, 2020
Kenya imejiunga na mataifa mengine katika majaribio ya Chanjo ya COVID-19 Watu waliojitolea wamepewa chanjo hiyo baada ya kupata Idhini kutoka wizara ya afya na serikali ya kuanti ya kilifi. Hayo yanajiri baada ya watu 17 kufariki kutokana na vvirusi Vya corona kwa saa 24 zilizopita. Akitoa taarifa ya COVID-19, Waziri wa afya mutahi kagwe amewasihi kuwa watiifu katika Kuvalia barakoa kila wakati