×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Familia moja kutoka kaunti ya Wajir yalilia haki baada ya mpendwa wao kuuawa kinyama

24th January, 2022

Familia moja kutoka kaunti ya Wajir inalilia haki baada ya mpendwa wao kuuawa kinyama na mwili wake kutupwa katika eneo la Kolol katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet.

Kwa mujibu wa familia hiyo, Abdirahim Adow Abdulahi alikuwa Afisa wa Polisi wa Idara ya Upelelezi mwenye cheo cha Konstebo na alikuwa akifanya kazi katika Kituo cha polisi cha Itabwa Mugoya katika kaunti ya Embu.

Wanasema mauaji yake yametokea wakati alipokuwa akifuatilia kesi kadhaa zinazohusiana na ulanguzi wa dawa za kulevya.

Wakati huo huo polisi walipata miili ya wanaume wawili iliyokuwa imeoza katika barabara kuu ya Kabarnet kuelekea Eldoret.

.
RELATED VIDEOS