×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Matiang'i adai kuwa vurugu katika mikutano ya Ruto imechangiwa na ahadi za uongo zinazotolewa

24th January, 2022

Waziri wa usalama wa ndani Fred Matiang'i amepuuzilia malalamishi yaliyoibuliwa na baadhi ya viongozi wa chama cha UDA waliowashutumu maafisa wa polisi kwa kuhusika katika kuvuruga na kutibua mikutano ya Naibu Rais William Ruto pamoja na wabunge wanaomuunga mkono.

Matiang’i amesema kwamba vurugu katika mikutano ya Ruto imechangiwa na ahadi za uongo zinazotolewa na wanasiasa kuwapa wafuasi wao pesa.

.
RELATED VIDEOS