×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga aelezea kwa kina matumizi ya neno madoadoa

11th March, 2022

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga hii leo aliuongoza mkutano wa mrengo wa Azimio la Umoja katika kaunti ya Kisumu, ambapo aliwaambia wafuasi wake kuwa wakati wa Tsunami ya kisiasa humu nchini umewadia. Odinga ambaye aliambatana na magavana sita na wabunge kadhaa na maseneta, alisema kuwa matamshi yake ya madoadoa kule Wajir si uchochezi wa kikabila, bali ni kuonyesha kuwa mrengo wa kisiasa wa Azimio la Umoja ndiyo wenye uzito zaidi.

.
RELATED VIDEOS