×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

OKA yatia sahihi makubaliano ya kufanya kazi kwa pamoja na baadhi ya vyama kwenye muungano huo

11th March, 2022

Muungano wa One Kenya Alliance umetia sahihi makubaliano ya kufanya kazi kwa pamoja na baadhi ya vyama kwenye muungano huo. Makubaliano haya yametiwa sahihi na viongozi kwenye vyama sita huku viongozi hawa wakisema atakaye hisi kuondoka ana uhuru wa kujiondoa kwenye muungano huo. Haya yanajiri wakati ambapo muungano wa Azimio ukitarajiwa kuzinduliwa rasmi na haijabainika vyema kama muungano huu utajiunga na Azimio hapo kesho.

.
RELATED VIDEOS