×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri Mutahi Kagwe asema sio lazima kuvalia barakoa baada ya maambukizi ya korona kupungua

11th March, 2022

Serikali imelegeza baadhi ya masharti ambayo iliwekakudhibiti kusambaa kwa virusi vya korona nchini kufuatia upungufu wa visa vya maambukizi ambavyo vimeshuhudiwa kwa kipindi cha mwezi mmoja uliopita. Waziri wa afya Mutahi Kagwe alidokeza kwamba visa vya maambukizi vimekuwa chini ya asilimia moja kama inavyoshauriwa na shirika la afya duniani.

.
RELATED VIDEOS