×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Huenda Ruto na Raila wanafanya majadiliano kushirikiana kisiasa katika uchaguzi wa 2022

9th April, 2021

Sasa ni wazi kwamba huenda naibu wa rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga wanafanya majadiliano ya kushirikiana kisiasa katika uchaguzi mkuu ujao. Haya yamejitokeza baada gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya kukutana na Raila Odinga kwa mkutano wa saa tano kuanzia saa tatu asubuhi, siku moja tu baada ya kukutana na William Ruto katika mbuga ya wanyama pori ya Maasai Mara.

 

.
RELATED VIDEOS