9th April, 2021
Katika mirindimo mzozo washamiri kati ya wafanyibishara huko Ruiru kutokana na ujenzi wa soko jipya na baadhi ya wakenya wakipinga kwa mitandao Kenya kupewa mkopo na IMF. Vivyo hivyo kuna baadhi ya wasanii waliojiachilia na kujipa raha wenyee.