×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Francis Atwoli achaguliwa tena kama katibu mkuu wa COTU kwa kipindi kingine cha miaka mitano

9th April, 2021

Katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini cotu Francis Atwoli amechaguliwa tena kama katibu mkuu wa muungano huo kwa kipindi kingine cha miaka mitano... Atwoli alichaguliwa tena hii leo kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa tom mboya kaunti ya kisumu... Akizungumza baada ya uchaguzi huo atwoli  ameishauri serikali kutumia fedha inazokopa kuwapiga jeki wannachi wanaojihusisha na biashara haswa katika kipindi hiki kigumu cha janga la korona ambapo biashara nyingi zimeathirika, na kuwalazimisha wananchi wengi kuzifunga.

 

 

.
RELATED VIDEOS