×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mumewe malkia Elizabeth mfalme Philip afariki akiwa na miaka 99

9th April, 2021

Mumewe malkia Elizabeth mfalme Phillip amefariki akiwa na miaka 99. Kulingana na msemaji wa familia yao huko Buckingham, marehemu aliaga dunia katika makazi yao ya kasri la windsor. Malkia elizabeth aliolewa na mumewe mnamo mwaka 1947, miaka mitano kabla ya kutawazwa malkia na alikua malme aliyehudumu kwa mda mrefu katika historia ya uingereza. Kwa hafla nyingi za umma ama kitaifa malkia elizabeth aliandamana na mumewe sako kwa bako na ufalme huo unachukuliwa kwa uzito wa hali ya juu na serikali ya uingereza. Familia ya mwanamflame philip na malkia elizabeth ilijaaliwa watoto 4, wajukuu 8 na vitukuu 10.

Kulingana na taarifa kutoka kasri la buckingham, ilieleza kuwa marehemu alifariki mapema asubuhi, taarifa iliotolewa na malkia elizabeth...

.
RELATED VIDEOS