×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Koti yataka washukiwa wa biashara ya ngono kusalia korokoroni

9th April, 2021

Mahakama ya kibera imemuagiza binti ya mfanyibiashara na mwanasiasa maarufu nchini kusalia korokoroni hadi shahidi mkuu katika kesi ya biashara ya ngono atakapotoa ushahidi wake. Hakimu mkuu wa mahakama hio Esther Bhoke alitoa amri hizo baada ya kutupilia mbali ombi la kuachiliwa kwa dhamana la faith bwibo, ambaye ni mwnafunzi wa chuo kikuu na mshtakiwa mwenza abdirazak adan. Mahakama na upande wa mashtaka ulikubaliana kutowaachilia kwa dhamana kwa kuwa kuna uwezekano wa kuharibu ushahidi. Hakimu bhoke alisema kesi hio ina uzito mkubwa kwa wawili hao, uhalifu ulioteklezwa katika mtaa wa mugiya south c mnamo tarehe20 mwezi machi. Kesi hio itatajwa tarehe 20 mwezi huu wa aprili. 

.
RELATED VIDEOS