×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi waomba Gideon Moi na William Ruto kufanya kazi pamoja ili kuunganisha jamii ya wakalenjin

19th February, 2021

Seneta wa Baringo Gideon Moi ametangaza ujenzi wa mabarabara na miradi zingine mbalimbali za serikali, katika kaunti ya Baringo, akizungumza katika mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti wa benki ya cooperative na mwandani wa hayati rais Moi, Hosea Mundui Kiplagat, Gideon ameahidi kushirikiana na rais Uhuru Kenyatta, kuhakikisha kuwa miradi iliyoahidiwa imekamilika. Aidha katika mazishi hayo, wito ulitolewa kwa naibu wa rais William Ruto kushirikiana na Gideon, ili kuunganisha jamii.

 

.
RELATED VIDEOS