Mirindimo: Mbunge Titus khamala asema Mukhisa hatoshi kugombea urais kwa sababu haendi matanga
19th February, 2021
Katika mirindimo mbunge wa Lurambi Titus khamala asema kuwa dkt. Mukhisa Kituyi hatoshi kugombea urais kwa sababu haendi matanga miongoni mwa matukio mengine ya wiki.