×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shirika la wanaskauti yaanda hafla ya wanaskauti katika kaunti ya Nyeri baada ya likizo ndefu

19th February, 2021

Baada ya kukaa mwaka mmoja bila kuandaa hafla la kusherekea wana skauti nchini, shirika la wana skauti wamerejea kwa kishindo wakianda hafla ya wanaskauti itakayoandaliwa katika kaunti ya nyeri hapo kesho wanaskauti wamejihusisha na miradi kusaidia shule za eneo hili ikiwemo kutoa mabati na kupaka rangi kwenye darasa za shule eneo hili ikiwa moja wapo ya njia za wanaskauti kusaidia jamii kwa kubadilisha maisha. Haya yanajiri huku shirika likitangaza kuwa wataanza upya kuwapiga msasa wanakamati kwenye shirika hilo wakidai kuwa kuna baadhi ya watu wanaoendeleza shughuli za wana skauti bila idhini yao.

 

.
RELATED VIDEOS