×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KUPEET yazungumzia kuhusu CBC, yawataka wazazi kufuatilia mtaala huo mpya

19th February, 2021

Chama cha walimu wa sekondari na vyuo, kuppet, sasa kinaitaka taasisi ya kukuza mitaala nchini, kicd, kuandaa mwongozo wa kuwaelekeza wazazi kuhusu majukumu yao kwenye mtaala wa cbc. Katibu mkuu, akello misori, amesema kutokana na hali kwamba wazazi ni kiungo muhimu katika elimu ya watoto kwenye mtaala huo mpya wa elimu, itakuwa bora kwa kicd kuwahamasisha wazazi na walezi kuhusu majukumu yao.

.
RELATED VIDEOS