×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ndimi za Moto: Watoto watatu wafariki eneo la Alego Usonga baada ya kuhusika kwenye mkasa wa moto

19th February, 2021

Watato watatu katika kata ya Bar?Agulu kaunti ndogo ya Alego/Usonga wamefariki baada ya kuhusika kwenye mkasa wa moto. Watato hao ambao ni pacha wa miaka mitatu na mwingine wa miaka sita wamechomeka kiasi cha kutotambulika. Mkasa huo wa moto ulitokea majira ya usiku watoto hao wakiwa wamelala.

 

 

.
RELATED VIDEOS