×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Uhuru aendelea kuipigia debe BBI katika eneo la Nairobi, awataka wananchi kuinga mkono

19th February, 2021

Rais Uhuru Kenyatta ameendelea kupigia debe mswada wa marekebisho ya katiba wa BBI kwenye ziara zake vitongojini Nairobi. Rais Kenyatta amesema mapendekezo kama kuongezwa kwa sehemu za uwakilishi ni njia ya kuongeza fedha mashinani. Rais pia ametia msisitizo kwa siasa bila fujo na umuhimu wa maendeleo. Alizungumza kwenye uzinduzi wa vituoa vya tekaji maji na hospitali mbili moja eneo la Soweto, Kayole na nyingine eneo la ushirika, Dandora.

 

 

.
RELATED VIDEOS