×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

TAABANI YA KUPUMUA: Gesi ya Oksijeni imegeuka kuwa adimu na ghali ikiacha nchi ikitafuta hewa

20th June, 2021

Hewa ya Oksigeni imekuwa mojawapo ya mbinu muhimu ya matibabu kwa wagonjwa wanaopata shida ya kupumua baada ya kuambukizwa maradhi ya korona. Hata hivyo, japo gesi hii ipo hewani na hata kwenye maji tunayoyanywa, gesi inayotumika hospitalini imekuwa nadra sana haswa katika msimu huu ambapo dunia inakabiliana na mlipuko wa virusi vya korona na hivyo basi kuacha wagonjwa wanaohitaji kuongezewa viwango vya oxigeni mwilini kutumia gesi hiyo kuhangaika. Lakini je, tatizo liko wapi? Na kwa nini wagonjwa wanaohitaji mbinu hii ya matibabu wanazidi kuhangaika na kukumbana na gharama ya juu ya matibabu pindi tu wanapopata tatizo la kupumua? Kwenye makala yetu maalum ‘Taabani ya Kupumua’ mwanahabari wetu Gloria Milimu anaangazia suala hilo, miongoni mwa maswala mengine ambayo wataalamu wanashauri ni sharti yaangaziwe iwapo serikali itataka kuzuia vifo vinanvyotokana na ukosefu wa gesi hiyo.

 
.
RELATED VIDEOS