10th June, 2021
Waziri wa Fedha Ukur Yatani amesoma makadirio ya bajeti takriban Ksh trilioni 3.6 huku serikali ikibashiri ukuaji wa uchumi kwa asilimia 6.6 mwaka huu ikilinganishwa na asilimia 0.6 mwaka 2020. Je, haya makadirio ambayo yamesomwa leo yamekuridhisha?