WAKO WAPI? Leo tunaangazia aliyekuwa Spika wa bunge la Seneti Ekwee Ethuro
15th May, 2021
Aliyekuwa Spika wa bunge la Seneti Ekwee Ethuro atakuwa mgeni wetu wa Wako Wapi Jumamosi hii. Utajua ni kwa nini nafasi yake ilichukuliwa na aliyekuwa Gavana wa Bungoma Spika Ken Lusaka na mipango aliyo nayo Kisiasa ya mwaka wa 2022.