Fumbo la SGR: Madai ya uovu uliotendewa baadhi ya waliopeaana ardhi
7th November, 2022
Fumbo la SGR: Madai ya uovu uliotendewa baadhi ya waliopeaana ardhi, ambao kufikia leo wanasema hawajalipwa chochote huku wengine wakipewa nusu ya kima cha pesa walizoahidiwa.