18th June, 2021
Katika mirindimo kiongozi wa ODM Raila Odinga asema reggae ya BBI itaendelea huku mbunge wa viti maalum David Sangok akisema kuwa ulemavu umemsaidia kwa hali nyingi. si hayo tu gavana Anne Waiguru ameonyesha weledi wake katika ngoma ya sukari.