11th June, 2021
Katika makala ya mirindimo wanasiasa wakabiliana huko Mumias kutokana na juhudi ufufuzi wa kiwanda hicho na si hayo tu bwana mmoja alijipata pabaya nje ya majengo ya bunge siku ya bajeti kusomwa. Tutakueleza pia kuhusu afisa polisi asiyefuata maagizo.