x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Bidco yatoa msaada hospitalini Tenwek, kina mama watapata huduma bila malipo kwa wiki moja ijayo

07, May 2021

Hospitali ya misheni Tenwek katika wiki moja ijayo itatoa huduma bila malipo kwa kwa kina mama wote kusherehekea siku ya dunia ya kina mama. Akizungumza baada ya kupokea msaada wa vifaa vinavyotumika nyumbani kutoka katika kampuni ya bidco africa afisa mkuu mtendaji wa hospitali hiyo ya Tenwek Shem Tangus amesema kuwa wanatambua umuhimu wanawake nchini. Miongoni mwa huduma watakazopata ni pamoja na kuwapima kina mama saratani ya matiti na kutoa huduma za ushauri nasaha. Mwakilishi wa Bidco Lawrence John amesema wamefanya kuonyesha jinsi wanavyojali afya ya kina mama

Feedback