×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Uhusiano Hatari: Polisi na Wenyeji watofautiana Kuresoi, Polisi wanalaumiwa kwa matukio hayo

7th May, 2021

Pameibuka maswali mengi kuliko majibu kuhusu utendakazi wa maafisa wa polisi katika vituo vya polisi vya Kiptagich na Olenguruone, katika eneo bunge la Kuresoi kusini kaunti ya Nakuru. Maafisa katika vituo hivi viwili, wameelekezewa vidole vya lawama kwa madai ya kutumia nguvu kupita kiasi wanapotengamana na raia, jambo ambalo limesababisha vifo vya watu huku wengine wakijeruhiwa mwilini na pia kisaikolojia. Ibrahim Karanja anaelezea kuhusu hali hii, ambayo kwa kipindi cha juma moja lililopita limesababisha vifo cha watu wawili.

.
RELATED VIDEOS