7th May, 2021
Shirika la Standard leo hii limefikia makubaliano na UNICEF ili kupigania haki za watoto likitumia vyombo vyake vya habari. Standard itatumia vyombo vyake vya habari kuangazia baadhi ya changamoto watoto wanapitia. Shirika la Standard pia limezindua gazeti la Standard mtandaoni, na kwa siku kumi zijazo wateja wanaojisajili watapata nafasi yakusoma gazeti zilizo kwenye makatba wakitumia simu ama tarakilishi. Kwingineko shirika la wanyamapori nchini KWS limezindua rasmi shughuli ya kuwahesabu wanyamapori