x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Waziri Magoha atangaza kwamba ufunguzi wa shule utafanyika jumatatu ijayo, mei tarehe kumi

07, May 2021

Waziri wa elimu, Profesa George Magoha, ametangaza kwamba ufunguzi wa shule utafanyika jumatatu ijayo, Mei tarehe kumi, jinsi ilivyoratibiwa. Akizungumza katika shule ya sekondari ya starehe baada ya kukamilika rasmi kwa usahihishaji wa mtihani wa kcse, Waziri Magoha aliongeza kwamba serikali imo mbioni kuhakikisha kwamba walimu wote wanapokea chanjo ya korona kufikia mwishoni mwa mwezi huu.

Feedback