7th May, 2021
Wachimba dhahabu watano walifariki usiku wa kuamkia ijumaa baada ya timbo la dhahabu kuporomoka katika machombo ya dhahabu ya Bushiangala, Ikolomani kaunti ya Kakamega. Manusura 9 wakiokolewa nakukimbizwa hospitalini. Naporomoko hayo yakidaiwa kuchangiwa na mvua kubwa inayokunya.