5th June, 2020
Visa vya ukatili unaodaiwa kuendelezwa na walinda usalama vimepelekea mkutano wa faragha kati ya wanaharakati wa haki za binadamu, mamlaka ya IPOA, mkuu wa sheria, waziri wa usalama wa ndani miongoni mwa washikadau wengine. Maafisa wa polisi wameonywa vikali dhidi ya kudhulumu raia huku afisi ya IPOA ikihimiza wakenya kuripoti visa kama hivyo.