×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maambukizi zaidi : Watu 140 waliopatikana na korona wakosa kupeana taarifa sahihi za kuwafikia

29th May, 2020

Serikali ya kenya inasema kunao watu 140 waliopatikana na korona lakini hawakupeana taarifa sahihi za kuwafikia. Na sasa kenya imerekodi maambukzi mapya 127 na kufikisha jumla ya maambukizi 1,745. Jumla ya sampuli 3,831 zilipimwa kwenye saa 24 zilizopita.

.
RELATED VIDEOS