×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafungwa watatu waliotoroka jela ya kamiti wapewa kifungo cha miezi 15

29th November, 2021

Wafungwa watatu waliotoroka jela ya Kamiti, na kutiwa mbaroni eneo la Kitui siku tatu baadaye, wamefungwa kifungo cha miezi kumi na mitano baada ya kukiri kosa la kutoroka jela.

Watatu hao pamoja na mfungwa mwengine anayedaiwa kuwasaidia kutoroka walifikishwa katika mahakama ya kahawa.

Wafungwa hao wameomba wasirudishe katika jela ya Kamiti na wamedai kuwa wapo baadhi ya maafisa wa jela waliowasaidia kutoroka na bado wako huru.

.
RELATED VIDEOS