Jehovah Wanyonyi.
Kwingineko ni kwamba waumini wa dhehebu la linalotambulikana ulimwenguni kote maarufu kama Jehova Wanyonyi ambao wanapatikana katika Kaunti ya Bungoma, magharibi mwa Kenya, wamewapa waumini wao tumaini baada ya nabii kujitokeza wazi na kudai kwamba Mungu wao ambaye ni Jehova Wanyonyi hakuaga dunia bali alikuwa kwenye ziara za kiungu na kwamba amesema naye, na kumhakikishia kwamba yu hai na atarejea muda si mrefu.