News Feature : Jamii ya Talai bado yalilia haki yao ya uhuru
10th December, 2012
Huku tukisubiri sherehe za Jamhuri hapo siku ya jumatano, jamii ya Talai kati ya jamii nyenginezo nchini ni tu baadhi ya makundi ambao hawajapata kuonja uhuru huo, Hussein Mohammed anatueleza taswira ya koitalel arap samoei na masaibu ya jamii ya talai ndani ya miaka arobaini na tisa baadaye.