Kampeni Za Matuga
Huku msimu wa uchaguzi ndogo wa eneo bunge la matuga ukiwa kileleni wakazi wa eneo bunge hilo sasa wanajiandaa kwa uchaguzi mdogo utakaofanyika tarehe kumi na mbili mwezi ujao . Kwa sasa wagombeaji wanne Ali Chirau Mwakwere mbunge wa zamani wa eneo hilo Hassan Mwanayoha , Kassim tandaza na Mutula Issak Mwasila . Wamejihami vilivyo kupambana katika Kinyanganyiro ambacho kitaibua kivumbi.