Kampeni Za Matuga

Sale
By | Jun 19, 2010

Huku msimu wa  uchaguzi   ndogo wa eneo bunge la matuga ukiwa kileleni  wakazi wa  eneo bunge hilo  sasa wanajiandaa kwa uchaguzi mdogo utakaofanyika   tarehe  kumi na mbili  mwezi ujao .  Kwa sasa  wagombeaji wanne  Ali Chirau Mwakwere mbunge wa zamani  wa eneo hilo  Hassan Mwanayoha  ,  Kassim  tandaza   na   Mutula Issak Mwasila . Wamejihami vilivyo kupambana katika Kinyanganyiro ambacho kitaibua kivumbi.

Share this story
.
RECOMMENDED NEWS