Darubini: Features Prof. Arthur Kemoli
Mtazamaji, kila wakati taifa hili linaposherehekea siku kuu ya kitaifa utakubaliana nami kwamba nyimbo za uzalendo ndio huipamba siku hiyo si televisheni, kwenye redio na hata katika uwanja wa nyayo ambapo kilelee huwa ni kumtumbuiza rais na wakenya kwa jumla lakini je umewahi kujiuliza chimbuko la nyimbo hizi..makala ya leo ya darubini yanammulika mtunzi wa nyimbo hizi si mwengine bali ni professor arthur kemoli lakini la kushangaza ni kwamba hana chochote cha kujivunia kutokana na nyimbo hizo kwani kwa sasa anaugua kisukari pamoja na figo lakini hakuna wa kumuenua.
Share this story