Mgombea apanda punda akijiwasilisha kwa IEBC

News
By Esther Kirong' | May 30, 2022
Mwaniaji wa Useneta katika kaunti ya Nyamira kwa Chama cha Democratic Party, DP, Adams Mochenwa amewashangaza wengi baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Tume ya Uchaguzi IEBC akiwa amepanda punda ili kuidhinishwa kuwania nafasi hiyo.   Kijana huyo, Adams mwenye Umri wa miaka 25 amesema amelazimika Kupanda punda ikiwa ni njia mojawapo ya kudhihirisha unyenyekevu, amani na kujitolea kwake kwenye Shughuli ya utoaji huduma kwa wakazi wa kaunti hiyo.   Mochenwa ambaye ni mhandisi wa ujenzi wa barabara, amesema fedha ambazo angetumia katika msafara wake atazielekeza kwa wakfu wake ili kuwasaidia watu wasiojiweza kando na kuwalipia karo wanafunzi wanaotoka familia maskini.
Share this story
Kirimi powers to glory at VetLab Club event
Ericv Karimi is the overall winner of the eighth and final leg of the Kengen golf tournament series. 
Strathmore Swords bounce back to slice Eldonets in league battle
Strathmore University Swords bounced back from Saturday’s defeat to edge out Eldonets 67-64 in a Kenya Basketball Federation (KBF) Women’s Premier League match on Sunday.
K'Ogalo silence Muranga Seal to move one win away from title
Record league champions Gor Mahia moved to within one win of another league title after beating Murang’a Seal 3-1 in a crucial SportPesa Premier League match on Sunday.
African stars in Europe: Antoine Semenyo wins it for City
Antoine Semenyo produced one of the great FA Cup final goals with an audacious back-flick that sealed a 1-0 win for Manchester City over Chelsea in the FA Cup final at the weekend.
Mixed results for top boxers as Police, KDF lead after first leg
Defending champions Kenya Police and Kenya Defence Forces shared the lead after the opening leg of the National Boxing League in Nakuru, as several top boxers suffered surprise defeats.
.
RECOMMENDED NEWS