Vyama vya ODM na UDA vyazungumzia mikakati vinavyoweka kuelekea uchaguzi mkuu

Siasa
Feb. 16, 2022

Your browser doesn’t support HTML5 audio

Uchaguzi mkuu unapokaribia kila chama cha kisiasa kinaweka mikakati ya kuhakikisha mchujo utaofanyika katika chama unakuwa huru na wa haki. Mkurugenzi Mkuu katika Chama cha UDA, Odanga Pesa vilevile Cathrene Muma ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Uchaguzi ya ODM wanazungumzia mikakati mbalimbali inayofanywa na vyama vyao kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

Share this episode
Ruto's first day in office
President William Ruto has approved and sworn in 6 judges rejected by immediate former President Uhu...
Uongozi wa Wanawake: Kutimiza Ndoto za Uongozi wa Kike Kenya
Kuchaguliwa kwa mwanamke kuwa Rais wa Mexico ni dhihirisho tosha la jinsi mtazamo wa watu unaweza ku...
.
RECOMMENDED NEWS