Sitaubadili uraia: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Your browser doesn’t support HTML5 audio

Bingwa wa tenisi kwa wachezaji chipukizi chini ya miaka kumi na minane, Angela Okutoyi anasema hawaii kubadili uraia. Katika mazungumzo na Ali Hassan Kauleni, Okutoyi amesema wazi kwamba licha ya kupata nafasi ya kufanya hivyo ataendelea kuwakilisha Kenya katika mashindano ya tenesi.

Share this episode
Eliot Berry, Mwingereza anayependelea kuishi Kenya| Kisa Changu Podcast
Eliot Berry, Raia wa Uingereza alikuja Kenya akiwa na umri wa miaka 19 alipotumwa na mamaye kutembea...
Nairobi's Middle-Class Must Rise Up To Salvage The City- Robert Alai
On this episode of The Situation Room, we're joined by Robert Alai, the MCA for Kileleshwa Ward, for...
.
RECOMMENDED NEWS