Wetangula Dhidi Ya Natembeya: Bora Kwa Demokrasia Ila Sio Kwa Vurugu

Your browser doesn’t support HTML5 audio

Ubabe wa kisiasa kati ya Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula na Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya ni dhihirisho la demokrasia ya nchi. Hata hivyo, ubabe huu haufai kuishia kuwa wa vurugu. Sepetuko inakariri kuwa kamwe vurugu hazifai kuwa sehemu ya siasa za taifa hili. Wanaohusika katika kuzua vurugu mazishini, kwenye mikutano ya hadhara au kwingineko kokote kule lazima wawajibishwe kisheria.

Share this episode
Je, Nairobi Iko Tayari Kukabiliana na Mvua Kubwa?
Mvua iliyonyesha usiku wa Jumapili imesababisha mauti na uharibifu mkubwa jijini Nairobi. Mvua hiyo ...
Special Boxing Podcast
Join former Makadara MP and accomplished boxer, Reuben Ndolo, as he delves into the intricacies of K...
.
RECOMMENDED NEWS