Jamii mbili mtaani buruburu zinahangaika katika kuwatafuta watoto wao wawili waliotoweka kwa muda wa sikutano kufikia sasa. Gilles Maiben aliye na umri wa miaka 12 na mwenzake Ibrahim Yusuf wa miaka 13 wanadaiwa kutoka shule wanayosomea ya baraka mtaani buruburu ijumaa iliyopita  na hadi sasa hawajapatikana wala kujulikana kule walipo .Carol Nderi alizungumza na wazazi wa vijana hao wawili ambao licha ya ripoti kupiga katika kituo cha polisi cha buruburu bado hawajafanikiwa kuwapata watoto wao.


Watoto Wapotea Buruburu