Moto wa kisiasa bado unazidi kuwaka ndani ya nyumba ya Kalonzo Musyoka ,hakuhudhuria mkutano eneo la Nanyuki ambapo wabunge wengine wa muungano wa G7 waliekelekea leo badalek aliamua kuelekea eneo la Ukambani kuhudhuria mazishi. Tokea aachwa nje ya mkutano muhimu wa kupanga mikakati hivi majuzi ,baadhi sasa wanjiuliza je ataweza kutembea peke yake katika barabara ya kisiasa? Na je Kalonzo yu taabani?


Can Kalonzo walk alone?