Hali ya taharuki imetanda mjini moyale kufuatia mapigano ya usiku kucha kati ya jamii zinazozana kwenye eneo hilo.ripoti ambazo hazijathibitishwa zimesema kuwa zaidi ya watu ishirini wameuawa huku zaidi ya nyumba 1,000 zikiteketezwa moto katika kijiji cha heilu na arosa huko moyale.watu zaidi ya 5,000 wameachwa bila ya makao na kulazimika kutegemea misaada kutoka mashirika ya ufadhili.


moyale; clashes; fightings; killings; kenya