Kampuni ya mtandao wa simu ya mkono yu, imeanzisha huduma inayo wezesha wateja kupiga simu na muda wa maongezi  kulipwa na anayepokea simu. Huduma hiyo inayoitwa ‘pay4me-6565’ inawaruhusu wanaotumia mtandao wa yu pekee yake ,wakiwa na kiwango kidogo cha pesa za kupiga simu au bila kabisa, kuomba mtu wanotaka kuonge naye awalipie masaa ya kuwasiliana kwa simu.