Katika miezi ya hivi karibuni, kenya imeshuhudia mikasa ya kila aina, hali ambayo imewaacha wengi wakiadhirika pakubwa. Kwenye orodha ya mikasa hii, ajali za barabarani ndizo zinazoongoza. Mamia wamepoteza maisha yao na wengine wengi kulemaa. Katika makala ya maisha peupe wiki hii, tunaangazia hadithi ya violet munji, muadhiriwa wa ajali ya barabarani, lakini ambaye hakuuruhusu ulemavu alioupata kumvunja moyo. Dorcas Mwangi anatueleza zaidi.


Maisha peupe (accident --Violet Munji)