Kama kawaida, ulimwenguni kuna visanga vinavyoshangaza na pia masaibu yanayokera. Peter Moss anapanda jukwaani na ametuandalia makala ya jinsi wanyama wanavyopendana na hata kujali wenzao na jinsi binadamu wakati mwingine wanavyojichukia kwa kufanya mambo yanayostaajabisha.


Vioja na viroja - 31/07/2011