Timu ya Kenya ya raga ya wachezaji 15 kila upande imeshuka hadi nafasi ya 38 kutoka nafasi ya 35 duniani baada ya kupoteza mechi yake ya kwanza msimu huu dhidi ya zimbabwe jumamosi iliyopita. New Zealnd, Australia na Afrika Kusini zinaorodheshwa timu tatu bora duniani.