Katika siku za hivi maajuzi inaelekea kuwa wanawake wanakunywa tembo zaidi kuliko wanaume . Na inaelekea kuwa sababu za tabia hii kuongezeka miongoni mwa wanawake ni kutibuka kwa ndoa ukosefu wa ajira au hata uchovu wa kiakili stress . Katika makala ya sehemu ya kwanza ya wanawake mateka wa pombe tunaangazia maisha ya wanawake wawili anne mathu na elsie otachi ambao walitekwa na pombe kiasi cha kupoteza maisha yao . Wawili hawa wanatupa taswira ya maisha yao na uhusiano wao na pombe ambao ulikuwa kama mtu na kivuli chake anne ngugi anatueleza