Kijiji  cha king’ero huko kikuyu kinaomboleza kifo cha mama mmoja na wanawe wanne waliochomeka  hadi kufa usiku wa kuamkia leo.  Moto huo unaaminika kusababishwa na mzozo wa kinyumbani kati ya mmiliki wa nyumba waliyokodisha na mkewe ambao kwa sasa wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha kikuyu.


Kikuyufire tragedy;fire;